XDLXDL
Hii story ipo hivi😂 Mkali alikuwa anampatia pesa mama yake ili akapatiwe. Matibabu hospitalini. Kumbe bi mkubwa anachukua pesa anampa mchungaji amuombee. Sasa mkali anaona mbona Bi mkubwa hapon. Ile kufatilia akajua pesa anapewa mzee wa kanisa. Oyaa 😂 ilikuwa noma sana · XDL