XDLXDL
Huyu mwanaume huwa anafanya Kazi ya boda boda hapa Dallas embu, sasa motorbike yake imeharibika akasema arudi home mapema, amefika akapata kuna jamaa anasupply high voltage electricity Kwa Bibi yake, mambo imechemka, anaitisha 50k as compensation. Anasema hawezi kuwa anatafuta · XDL