XDLXDL
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na onyo lake huko Razaba kwamba ardhi iliyoko bagamoyo ni yao na hakuna mtanganyika anaruhusiwa kuigusa! Na akiiguza itamchukulia hatua ! Wanasheria hapa tujuzane je Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inao uwezo wa Kumwajibisha Mtanganyika!? · XDL