XDLXDL
Enyewe, is Sifuna Politically naive or just inexperienced! Cause vile wanamwita huku nje Sifuna inexperienced naive si poa! The ganes ndani ya opposition are doing him dirty! Jamaa is new to this na wanamcheza vibaya! Kazi yake ni kuuliza "Mnaniona hapo nyuma? Mnanionaaa? · XDL