Video ya Mjane ina dakika 2. AI nyingi zinatoa video Sekunde 10,20,30. Video yake ina jump cuts nyingi na hazina stable Camera Hata kama alikuwa anakosea kusoma kwa Nini camera icheze kwenye kila Jumpcut? Ni camera ya Simu au? Andikeni alichokiongea muone flow ya maneno.
@Seneta Wa GenZ
1 grabs
No comments yet
Say something. You’re first.