XDLXDL
Lakini kusema tu ukweli Gen Alpha wengi wao huwa wamekosana na kuoga😂, all the complaints I read online about them ni za kuoga tu na kupenda gadgets sana - playstation,tv na phones ju ya kucheza fortnite,discord na roblox. · XDL