Edwin Sifuna: Jirongo alikuwa tofauti na hawa viongozi wengine. Jirongo ulikuwa ukimkosoa na asisikie vibaya. Kuna wengine, ukiandika kwa Twitter, ‘huyu mtu ni bure’, anakutumia polisi. · XDL
Edwin Sifuna: Jirongo alikuwa tofauti na hawa viongozi wengine. Jirongo ulikuwa ukimkosoa na asisikie vibaya. Kuna wengine, ukiandika kwa Twitter, ‘huyu mtu ni bure’, anakutumia polisi.
No comments yet
Say something. You’re first.