XDLXDL
Huyu ndo Dr Rugemeleza Nshala 🙌🏽 Harvard graduate na wakili wa Tundu Lissu - lead counsel of Chadema Akiongea kwenye mazishi ya baba yake Martha Karua amepiga kwenye mshono Kumbukeni Martha Karua was deported and made persona non grata! Samia Suluhu utawala wake ni ushenzi mtupu · XDL