XDLXDL
Pole Haji Manara 🤣, kupelekewa moto namna hii inauma sana, Huyu John Heche. akili zake ni kubwa mno, kweli huyu ni pacha wa Tundu Antiphas Lissu , hivi vichwa vina akili sana Mwisho wa maoni yangu. · XDL