XDLXDL
HABARI: Wananchi na wasafiri jijini Dodoma wamekumbwa na adha ya usafiri baada ya madereva wa mabasi yaendayo mikoani kugoma kutoa huduma leo, Septemba 29, 2026, wakidai Serikali haijasikiliza kero wanazokutana nazo katika utekelezaji wa majukumu yao. · XDL