XDLXDL
Wamuunga Mkono Rais, Ila Sakaja La! Baadhi ya viongozi Nairobi wamesema watamuunga mkono rais William Ruto kuwania tena urais ila hawataunga mkono gavana Johnson Sakaja kuwania muhula mwingine kaunti ya Nairobi. #NTVAdhuhuri @YoshuaMakori · XDL