XDLXDL
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA Wilaya ya Dodoma, Sath John Masawa (31), kwa tuhuma za kumtishia kwa kitu kilichodhaniwa kuwa bastola dereva wa basi la SATCO, Said Fadhili (54). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, · XDL