XDLXDL
Hatma Ya Dkt Masomba: Imebainika kuwa daktari Denis Masomba Nyambane, anayedaiwa kumdunga kisu mkewe Mary Mwende, alikuwa akikabiliwa na hali ngumu nyumbani mwake. Wafanyikazi wenza wanasema daktari huyo alikuwa amelalamikia mateso ya mkewe. #NTVJioni @FredMuitiriri · XDL