Former President Uhuru Kenyatta: Tulifanya kila kitu kumsaidia Baba awe Rais wa Jamhuri yetu ya Kenya. Na kura akapata, na mimi mpaka wa leo najua ya kwamba yeye ndiye alishinda hiyo kura. Tunajua vile mambo ilienda, na hatutaki iende hivyo tena
@Citizen TV Kenya
1 grabs
No comments yet
Say something. You’re first.