XDLXDL
Former President Uhuru Kenyatta: Umewekwa kama Waziri ama PS uandike watu wa kabila yako, sasa hiyo ni kusema nini? Umewekwa Waziri kwa sababu ya kabila ama umewekwa ili utumikie Kenya? Ndio maana mimi naunga mtu kama Matiang’i, alipewa kazi na akaenda kuhudumia Wakenya · XDL