Former President Uhuru Kenyatta: Walikuja wakadanganya Wakenya wakisema wanatetea ma-hustler waliokaliwa na mabwanyenye ambao tulikuwa tunaitwa dynasty. Wakazunguka na uongo mwingi sana. Leo najiuliza, ma-hustler wa kweli ni nani na ma-dynasty ni nani? Hilo mtajijibia nyinyi
@Citizen TV Kenya
1 grabs
No comments yet
Say something. You’re first.