XDLXDL
Walikuja wakadanganya Wakenya wakisema wanatetea ma-hustler waliokaliwa na mabwanyenye ambao tulikuwa tunaitwa dynasty. Wakazunguka na uongo mwingi sana. Leo najiuliza, ma-hustler wa kweli ni nani na ma-dynasty ni nani? - Former President Uhuru Kenyatta · XDL